Shirikisho la soka la Tanzania(Tff) limeamua mchezaji Vicent Andrew Dante kurudi katika klabu yake mara moja baada ya mchezaji huyo kugoma kujiunga na timu hiyo. Tff imeamua hivyo baada ya …
dante
-
-
Shirikisho la soka nchini (Tff) kupitia kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kuingilia kati suala hilo ili kuhakikisha haki inatendeka. Kamati hiyo iliwaita wahusika pande zote mbili oktoba 18 …
-
Beki wa klabu ya Yanga Andrew Vicent “Dante” ameiwekea ngumu klabu hiyo kumlipa fedha zake kwa awamu kama inavyofanya kwa mastaa wengine huku akihitaji kulipwa zote kwa mkupuo mmoja. Staa …
-
Beki wa klabu ya Yanga sc Andrew Vicent “Dante” amegoma kujiunga na timu hiyo akishinikiza kulipwa fedha za usajili anazoidai timu hiyo. Beki huyo aliyejiunga na timu hiyo akitokea Mtibwa …
-
Inaelezwa kuwa mabeki wa timu ya Yanga sc Juma Abdul na Andrew Vicent “Dante” wamesimamishwa na uongozi wa klabu hiyo kwa muda usiojulikana baada ya kutoripoti kambini mjini Morogoro kwa …
-
Mabeki nguli wa klabu ya Yanga sc Kelvin Yondani,Vicent Andrew na Juma Abdul wamegomea kuhudhuria mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kambini mjini Morogoro wakishinikiza walipwe fedha zao wanazodai. Taarifa zaidi …