Winga wa zamani wa vilabu vya TP Mazembe na Simba sc Deogratius Kanda amejiunga rasmi na wakata miwa kutoka Turiani Morogoro Mtibwa Sugar katika dirisha hili dogo la usajili. Deo …
Tag:
deo kanda
-
-
Winga wa klabu ya Simba mkongo Deo Kanda amerejea nchini tayari kuanza kukitimikia kikosi cha wekundu hao baada ya kuwa nje kwa majeraha ya mguu. Kanda aliyeumia Januari 4 kwenye …