Klabu ya Yanga sc imemalizana kwa amani na beki raia wa Kongo Drc Djuma Shabani baada ya kumpatia barua ya kumuacha huru baada ya mvutano wa muda mrefu baina yao. …
Tag:
Djuma Shabani
-
-
Mlinzi wa pembeni Djuma Shabani aliyekuwa anakipiga kwenye kikosi cha Yanga sc misimu kadhaa nyuma huenda akajiunga na Azam fc kabla dirisha halijafungwa. Taarifa zinaeleza kuwa yupo katika mazungumzo na …