Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na alama tatu muhimu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma baada ya kuifunga timu …
Dodoma jiji
-
-
Kiungo maestro wa klabu ya Yanga sc Yannick Bangala yupo hatihati kuwavaa Dodoma jiji katika mchezo wa ligi kuu nchini utakofanyika jioni ya tarehe 15/5/22 katika uwanja wa Jamhuri jijini …
-
Kikosi cha klabu ya Yanga sc kimewasili jijini Dodoma kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Nbc dhidi ya Dodoma jiji siku ya Jumapili utakaofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini humo. …
-
Klabu ya soka ya Dodoma jiji Fc yenye makao yake makuu jijini Dodoma imemuajiri kocha wa zamani wa klabu ya Simba sc Masoud Djuma kama kocha mkuu waklabu hiyo kufuatia …
-
Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Mbao na Yanga Waziri Junior amejiunga rasmi na Dodoma Jiji kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuwatumikia watoza ushuru hao wa makao makuu …
-
Klabu ya Azam fc imerudi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya jana kuifunga klabu ya Dodoma jiji Fc kwa mabao 3-0 katika mchezo uliochezwa katika uwanja …