Klabu ya soka ya Dodoma jiji Fc yenye makao yake makuu jijini Dodoma imemuajiri kocha wa zamani wa klabu ya Simba sc Masoud Djuma kama kocha mkuu waklabu hiyo kufuatia …
Tag:
Dodoma
-
-
Bodi ya Ligi kuu Tanzania bara (TPLB) imevifungia viwanja saba kutumika kwa michezo ya ligi kuu na ligi daraja la kwanza mpaka vitakapofanyiwa marekebisho mbalimbali. Bodi hiyo yenye mamlaka kamili …
-
Simba Sc imeibuka na kauli mbiu mpya kuelekea mechi ya watani wa jadi itakayochezwa Octoba 18 mwaka huu uwanja wa Uhuru jijini Dar-es-salaam na matokeo yatakayopatikana ambayo ni ‘Zin Zala …
-
Klabu ya Yanga mapema leo asubuhi iliwasili katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma baada ya kupata mwaliko. Timu hiyo iliwasili ikiwa imeambatana na Mkurugenzi wa Uwekezaji …