Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Prince Dube muda wowote atapewa barua ya kumalizana na klabu hiyo baada ya kufanikiwa kulipa zaidi ya shilingi milioni mia tano za kitanzania …
Dube
-
-
Mshambuliaji Prince Dube amefika katika makao makuu ya Shirikisho la soka nchini (TFF) kwa ajili ya kusikiliza shauri lake dhidi ya Klabu ya Azam Fc ambapo pande hizo mbili zimefika …
-
Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji na wanachama ya TFF inakutana kesho Alhamisi tarehe 18 April 2024 kupitia mashauri tofauti tofauti ikiwemo sakata la mshambuliaji wa Azam FC PRINCE …
-
Mshambuliaji Prince Dube amerejesha mali zote alizopewa na klabu hiyo ikiwemo gari ya kutembelea pamoja na nyumba baada ya kugoma kuendelea kuichezea klabu hiyo ambapo tayari alishawasilisha barua ya kuvunja …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Prince Dube amewasilisha barua ya kuomba kuvunja mkataba na klabu hiyo kutokana na kutokua na furaha ambapo ana mkataba na klabu hiyo mpaka mwaka …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Azam FC Prince Dube amesaini mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu yake hiyo Kwa miaka miwili zaidi baada ya ule wa awali kuelekea ukingoni mwishoni mwa mwezi …
-
Klabu ya Azam fc imerudi kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Tanzania bara baada ya jana kuifunga klabu ya Dodoma jiji Fc kwa mabao 3-0 katika mchezo uliochezwa katika uwanja …