Klabu ya Manchester City imetwa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Westham Fc katika mchezo …
English Premier League (EPL)
-
-
Tambo za mashabiki wa klabu ya Manchester United zimekua nyingi hasa baada ya timu hiyo kufanikiwa kuisambaratisha Manchester City kwa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuifunga Arsenal 3-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Old Trafford ambapo mabao ya Antony pamoja na Marcus Rashfod yalitosha kuchukua alama …
-
Klabu ya Manchester united chini ya kocha Erick Ten Hag imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Liverpool fc katika mchezo wa mzunguko wa tatu wa ligi kuu …
-
Ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani wa Emirates klabu ya Arsenal imeshindwa kuvuna alama katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza kwa kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa vijana …
-
Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka nchini Uingereza Manchester city wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi wa klabu bingwa Ulaya Chelsea kwenye mchezo wa ligi kuu ya …
-
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ubelgiji na Chelsea Romelu Lukaku hatimaye amemaliza tofauti zake na kocha mkuu wa timu hiyo Thomas Tuchel kwa kuomba msamaha na kurudishwa kikosini. Mchezaji …
-
Wolverhampton Wonderers wamepunguza kasi ya Manchester United katika kupigania nafasi ya kushiriki michuano ya klabu bingwa Ulaya baada ya kuwatandika 1-0 katika dimba la Old Trafford. Bao pekee la mchezo …
-
Kocha wa muda wa Manchester united Ralf Rngnick ameweka wazi kuwa mshambuliaji Edson Cavani na kiungo Don Van De Beek wataendelea kubakia ndani ya klabu hiyo hadi mwisho wa msimu …
-
Mechi iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa soka duniani baina ya Chelsea na Liverpool imeshindwa kupata mbabe baada ya timu hizo kutoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2. Liverpool ndio …