Benchi ya ufundi la Manchester United lililokuwa chini ya kocha Ole Gunnar Solskjaer limeendelea kupukutika baada ya aliyekuwa kocha msaidizi Kieran McKenna naye kuondoka na kwenda kujiunga na klabu ya …
English Premier League (EPL)
-
-
Wiki moja baada ya kutimuliwa kwa kocha Olle Gunnar Solskjaer katika klabu ya Manchester United tayari uongozi wa klabu hiyo tajiri upo katika hatua za mwisho kumalizana na kocha Ralf …
-
Ligi ya mabingwa inaendelea leo ambapo watetezi wa ligi kuu England,Liverpool itavaana na Ajax majira ya saa 4:00 usiku uwanja wa Johan Cruijff Arena. Huu ni mchezo wa aina yake …
-
Liverpool ambao ni mabingwa wa ligi kuu England wamekutana na ukuta wa kumpata beki wa Norwich City,Jamal Lewis baada ya thamani yake kuwa kubwa kuliko waliyoiweka mezani. Dau ambalo Liverpool …
-
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amefanikiwa kusalia ligi kuu ya Uingereza baada ya timu yake ya Aston Villa kutoa sare ya 1-1 dhidi ya Westham United. …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kumaliza ligi kuu nchini Uingereza kwa kishindo baada ya jana kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Leicester City katika uwanja wa King …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kutua nafasi ya tatu katika msimamo ligi kuu nchini Uingereza baada ya kutoa sare na Westham United katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza. Paul …
-
Timu inayozidi kuilinda nafasi yake ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu England ,Manchester City imewapiga mabao 2-0 AFC Bournemouth katika uwanja wa Etihad Stadium huku mechi ikisimamiwa na refa …
-
Arsenal inayoshika nafasi ya tisa ikiwa na alama 50 itakuwa na shughuli pevu leo ikipambana dhidi ya Liverpool ambao wapo kileleni wakiwa na alama 93 katika mechi 35. Mechi hiyo …
-
Klabu ya Southampton imeharibu ndoto ya mashabiki wengi wa Manchester United ya kumaliza katika nafasi ya nne baada ya kusawazisha bao dakika za lala salama na kufanya matokeo ya mechi …