Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Ettiene Ndayiragije ameteua kikosi cha wachezaji 35 kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya kufuzu mataifa ya Afrika(Afcon) na michuano ya mataifa …
ettiene ndayiragije
-
-
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeingia mkataba wa mwaka mmoja na Ndayiragije Ettiene kuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars. Kabla ya uteuzi huo uliofanywa na Kamati ya Utendaji …
-
Kocha Ettiene Ndayiragije amejiuzulu nafasi yake ya ukocha mkuu wa klabu ya Azam fc huku ripoti zikibainisha anakwenda kujiunga na timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) kama kocha mkuu …
-
Kufuatia kufukuzwa kwa kocha wa Taifa stars Emmanuel Amunike makocha wengi wamewasilisha wasifu wao katika shirikisho la soka la Tanzania(Tff) ili kupata nafasi ya kuinoa timu hiyo. Kocha huyo aliyewahi …
-
Klabu ya Azam Fc imewatema baadhi ya mastaa wa kikosi chake cha kwanza baada ya mikataba yao kuisha hivyo uongozi kuona hakuna haja ya kuendelea kuwa nao katika kikosi kipya …