Bodi ya ligi kuu nchini imewatoza faini ya Shilingi milioni tano kila mmoja klabu za Simba sc na Pamba Jiji Fc kutokana na kuvunja kanuni siku moja kabla ya mchezo …
Tag:
Faetured
-
-
Daktari wa klabu ya Simba sc Edwin Kagabo amefunguka kuhusu jeraha alilolipata beki Henock Inonga baada ya kukanyagwa vibaya na mshambuliaji Hija Ugando wa Coastal Union katika mchezo wa ligi …
-
Kikosi cha timu ya Mbeya City Fc kiko katika maandalizi makali kuhakikisha kinachukua alama zote sita katika michezo miwili iliyobaki ya ligi kuu nchini ili kujihakikishia kutoshuka daraja. Mbeya city …
-
Msemaji wa klabu ya Yanga sc Haji Manara amefunga ndoa ya pili siku ya Alhamis jionihuku watu wachache wakihudhuria ndoa hiyo ambayo inasemekana imekua ya siri zaidi na ikiwa haina …