Kikosi cha Simba kimewasili leo jijini kikitokea Sumbawanga ambapo kilikuwa na mchezo wa fainali dhidi ya Namungo FC ambao walipigwa mabao 2-1 katika Uwanja wa Nelson Mandela. Wanamsimbazi hao wamerejea …
Tag:
fainali FA
-
-
Kiungo wa Simba Sc, Luis Miquissone leo Agosti 2,2020 amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam. Luis amehusika kwenye mabao yote mawili ya …