Kiungo wa klabu ya Yanga sc Farid Mussa amefunguka kutoonekana kwake uwanjani tangu acheze katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambapo Yanga sc ilipata ushindi wa mabao 5-0. …
Tag:
Farid Musa
-
-
Kiungo Farid Musa Malick amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia katika klabu ya Yanga sc mpaka mwaka 2024baada ya ule wa awali kuelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu. Farid …