Uongozi wa Klabu ya Yanga Sc umethibitisha kwamba kiungo mshambuliaji wao, Stephine Aziz Ki atajiunga na klabu ya Wydad Casablanca baada ya klabu hiyo kumalizana na Yanga sc kwa dau …
Tag:
features
-
-
Klabu ya Simba sc imeshindwa kuibuka na alama tatu katika mchezo wa kundi B michuano hiyo baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 katika dakika tisini za mchezo huo uliokua mkali …
-
Klabu ya Kmc imefanikiwa kuchukua alama zote tatu dhidi ya Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Kmc ambayo …
-
Klabu ya Yanga sc imeingia makubaliano na Umoja wa Mataifa kupitia Shirika la kuhudumia Watoto (Unicef) unaolenga kuongeza uelewa kwa Umma kuhusu Chanjo ya UVIKO-19 na kutoa elimu kuhusu virusi …