Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Kongo Mwinyi Zahera amerejea nchini kufuatilia stahiki zake katika klabu ya Yanga baada ya timu hiyo kuvunja mkataba na kocha huyo. Zahera alivunjiwa …
fedha
-
-
Beki wa klabu ya Yanga Andrew Vicent “Dante” ameiwekea ngumu klabu hiyo kumlipa fedha zake kwa awamu kama inavyofanya kwa mastaa wengine huku akihitaji kulipwa zote kwa mkupuo mmoja. Staa …
-
Beki wa klabu ya Yanga sc Andrew Vicent “Dante” amegoma kujiunga na timu hiyo akishinikiza kulipwa fedha za usajili anazoidai timu hiyo. Beki huyo aliyejiunga na timu hiyo akitokea Mtibwa …
-
Timu ya Gormahia inayoshiriki ligi kuu nchini Kenya imeshindwa kukusanya kiasi cha kutosha kwenye harambee maalumu ya kuichangia timu hiyo ili ipate fedha za kuwezesha kucheza mchezo wa hatua ya …
-
Mambo yamezidi kumnyookea beki wa Yanga sc Paulo Godfrey “Boxer” baada ya jana kuvaa jezi ya timu ya taifa kwa mara ya kwanza huku pia ikidaiwa timu hiyo imemuongezea mshahara …
-
Mabeki nguli wa klabu ya Yanga sc Kelvin Yondani,Vicent Andrew na Juma Abdul wamegomea kuhudhuria mazoezi ya timu hiyo yanayoendelea kambini mjini Morogoro wakishinikiza walipwe fedha zao wanazodai. Taarifa zaidi …
-
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba sc Ibrahim Ajib ameamua kutoa ufafanuzi kuhusu suala ya kutojiunga na timu ya Tp Mazembe ya kongo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili …
-
Baada ya klabu ya Yanga Fc kumuuza mshambuliaji wake Heritier Ebenezer Makambo kwenda klabu ya Horoya Fc ya Guinnea basi mambo yameiva baada ya timu hiyo inayocheza ligi kuu na …
-
Unaweza kusema ni kufuru,Baada ya mshambuliaji wa Simba sc mwenye asili ya Kinywaranda Meddie Kagere kusaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia klabuni msimbazi baada ya ule wa awali …
-
Klabu ya Yanga inatarajiwa kumalizia kampeni yake ya kuichangia klabu hiyo iliyobatizwa “Kubwa kuliko” itakayofanyika 15 june katika ukumbi wa Diamond jubilee hall jijini Dar es salaam ambapo lengo kubwa …