Klabu ya Kitayosce ambayo zamani Tabora United imefungiwa kusajili Kutokana na kushindwa kumlipa fedha za usajili na baadhi ya mishahara aliyekuwa Mlinzi wao wa kushoto raia wa Ghana Asante Kwasi. …
FIFA
-
-
Shirikisho la soka Duniani (Fifa) limeifungia klabu ya Rayon Sports ya Rwanda kufanya usajili wa wachezaji wa kigeni baada ya kukutwa na hatia ya kutomlipa stahiki zake aliyekuwa golikipa wao …
-
Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia baada ya kuifunga timu ya Taifa ya Uholanzi kwa jumla ya mabao 4-3 …
-
Winga wa Taifa Stars Simon Msuva ameshinda kesi dhidi ya klabu ya Wydad Casablanca juu ya madai ya mishahara yake na fedha za usajili ambazo hakulipwa kipindi anaichezea klabu hiyo …
-
Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Wydad Casablanca Simon Msuva amejiunga na klabu ya Alqadsiah inayoshiriki ligi daraja la pili nchini Saudi Arabia ambapo amesaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele …
-
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limeifungia Klabu ya Geita Gold kutosajiri Mchezaji yeyote Mpaka pale itakapolipa Madai ya mishahara ya aliyekuwa Kocha wao Etienne Ndayiragije. Geita Gold ilivunja …
-
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia, ameunda kamati ya ushindi ya timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo mwenyekiti wake ni Ghalib Said Mohammed (GSM) huku makamu mwenyekiti …
-
Yanga Sc wamekanusha taarifa za mtandaoni zilizoenea kuwa wamelifuta jina la mchezaji wao wa 28,Benard Morrison kwenye orodha ya wachezaji wa msimu wa 2020/2021. TFF iliamua kesi hiyo kwa kuliondoa …
-
Timu ya taifa ya Kenya(Harambee Stars) sasa watashiriki mchujo wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia za 2022 nchini Qatar baada ya Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) kuafikiana …
-
Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) limetangaza kufuta tuzo za soka zinazotolewa na Shirikisho hilo mwaka huu kutokana na janga la virusi vya Corona ambazo zilitarajiwa kutolewa jijini Milan nchini …