Aliyekua kocha wa klabu ya Yanga sc Miguel Gamondi mapema leo ameondoka nchini kuelekea nyumbani kwao nchini Argentina kwa mapumziko mafupi huku akisubiri kukamilisha dili la kujiunga na moja ya …
gamondi
-
-
Kocha wa klabu ya Yanga Sc Miguel Gamondi amesema kuwa amegundua wapinzani wake wanamuogopa sana kutokana na ubora wake hivyo wamemtengenezea mtego afungwe mechi mbili ili afukuzwe. Gamondi amesema hayo …
-
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga sc zinasema kuwa kocha Miguel Gamondi tayari amewasilisha ripoti kwa viongozi wa klabu hiyo ambapo ameonesha kuwa anahitaji maboresho katika baadhi ya nafasi …
-
Kocha wa klabu ya Yanga sc Miguel Gamondi amethibitisha kurejea kwa wachezaji Kennedy Musonda na Yao Kouasi baada ya kuwa majeraha yaliyosababisha wakosekane katika michezo kadhaa ya ligi kuu nchini. …
-
Mchezaji wa klabu ya Yanga sc Maxi Nzengeli Mpia pamoja na kocha Miguel Gamondi wamefanikiwa kuchukua tuzo ya kocha bora na mchezaji bora kwa mwezi wa nane huku meneja wa …