Klabu ya Simba sc ikitoka nyuma kwa 1-0 imefanikiwa kushinda kwa mabao 4-1 katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Nbc dhidi ya klabu ya Geita Gold Sc uliofanyika …
Geita Gold Fc
-
-
Klabu ya Yanga sc imezidi kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi kuu nchini baada ya kupata ushindi wa 1-0 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold Fc uliofanyika …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuchukua alama tatu baada ya kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya Geita Gold Sc katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Ccm …
-
Aliyekua kocha wa zamani wa klabu za Azam Fc na Namungo Fc Dennis Kitambi amejiunga na klabu ya Geita Gold Sc akichukua nafasi ya Hemed Morroco ambaye aliamua kujiuzuru kuifundisha …
-
Mabao mawili ya Elias Maguri na Godfrey Julius yalitosha kuipa alama tatu Geita Gold Sc dhidi ya KMC katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc uliofanyika katika uwanja wa Uhuru …
-
Ni nguvu ya kikosi cha michuano ya kimataifa ndio imetumika kuwamaliza Geita Gold Fc katika mchezo wa ligi kuu baina ya Yanga sc na timu hiyo ambao umemalizika kwa Yanga …
-
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Kelvin Yondani yupo njiani kujiunga na klabu ya Kagera Sugar akitokea klabu ya Geita Gold Fc ambapo amedumu kwa takribani nusu msimu …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Geita Gold Sc Saido Ntibanzokiza atakosekana katika michezo mitatu ya ligi kuu nchini baada ya kupata kadi nyekundu katika mchezo wa ligi kuu kati ya …
-
Kiwango maridhawa kilichoonyeshwa na nyota wa zamani wa klabu ya Yanga sc Saido Ntibanzokiza kimewakosha wadau mbalimbali wa michezo nchini ambapo mpaka sasa amekua msaada katika klabu yake ya Geita …
-
Kufuatia kushinda kwa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold siku ya Jumamosi kufuatia bao la penati ambayo mwamuzi Florentina Zablon ameingia matatani kutokana na wadau wengi wa soka wakiwemo mashabiki …