Licha ya kuiongoza Napoli kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Genk na kufuzu hatua ya mtoano timu ya Napoli imemtimua kocha huyo saa moja baada ya mechi hiyo. …
genk
-
-
Mtanzania Mbwana Samatta ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza michuano ya klabu bingwa barani ulaya wakati akiichezea timu yake ya KRC Genk dhidi ya Reddbull Salzburg ya nchini …
-
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya vijana (Serengeti boys) Kelvin John 17’ leo atapanda ndege kwenda nchini Ubeligiji kusaini mkataba wa kuichezea rasmi timu ya Krc Genk inayoshiriki ligi kuu …
-
Hofu ilikua imetanda katika klabu ya Krc Genk anayoichezea Mtanzania Mbwana Samatta kufuatia kupata jeraha katika goti hali iliyosababisha kupelekwa kwenye mashine ya Magnetic Resonance Imaging. Jeraha hilo alilipata katika …
-
Mshambualiaji wa kitanzania anayeichezea klabu ya Krc Genk ya Ubeligiji Mbwana Samatta anasakwa na klabu ya Galatasalay ya Uturuki ili kwenda kuiongezea makali safu ya ushambuliaji ya klabu hiyo. Inaripotiwa …
-
Timu za Brighton na Aston Villa zinashoriki ligi kuu ya Uingereza zimeonesha nia ya kumuwania mshambualiaji wa kitanzania anayecheza ligi kuu nchini Ubeligiji Mbwana Samatta ili akajiunge na timu hizo …