Klabu ya Singida Black Stars ina mpango wa kuipeleka klabu ya Gor Mahia kwenye shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya klabu hiyo kutorudisha fedha za usajili licha dili la …
Tag:
Gormahia fc
-
-
Klabu ya Singida Black stars imetuma ombi rasmi katika klabu ya Gor Mahia ya nchini Kenya kutaka kurejeshewa dau la usajili ambalo waliliweka kwenye akaunti zao kwa ajili ya manunuzi …
-
Kipa namba moja wa Azam FC,David Kissu ameweka rekodi ya kuwa kipa pekee ligi kuu bara baada ya kucheza dakika 360 sawa na mechi nne bila kuruhusu bao lolote. Kissu …
-
Nyota wa zamani wa klabu ya Gor Mahia,Joash Onyango ametambulishwa rasmi leo ndani ya Simba sc baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu hiyo. Onyango alishawahi kufanya kazi …
-
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa imeashiria inapanga kurejea katika soko la Kenya, saa chache tu baada ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kusaini mswada wa fedha Juni 30, …