Gormahia ambao ni mabingwa mara 19 wa ligi kuu ya Kenya (KPL) wamejinasia huduma za kocha mpya,Roberto Oliveira ambaye atakuwa mbadala wa mwingereza Steven Polack aliyejiuzulu usiku wa Octoba 8,akiwa …
gormahia
-
-
Gormahia wametishia kuajili kocha mpya iwapo kocha wao,Steven Polack hatarejea nchini humo kufikia mwishoni mwa wiki hii,yaani Octoba 4. Polack aliondoka nchini humo mnamo Agosti kwaajili ya likizo ya siku …
-
David Mapigano Kissu ametambulishwa rasmi kuwa mali ya Azam Fc baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili akitokea klabu ya Gor Mahia ya Kenya. Kissu alichezea timu za Njombe Mji …
-
WAKILI Ambrose Rachier ambaye ni mwenyekiti wa Gor Mahia, amesema miamba hao wa soka ya nchini humo wanapitia hali ngumu zaidi ya kifedha na wameshindwa kulipa mishahara ya wachezaji wao …
-
KLABU za Ligi Kuu Kenya (KPL) zimetakiwa zijitayarishe kwa nyakati ngumu zaidi kwa sababu hakuna matumaini ya mdhamini mpya kupatikana hadi ligi hiyo ikamilike msimu huu. Mwenyekiti wa KPL Ambrose …
-
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Juma Balinya amesajiliwa na timu ya Gor Mahia, mabingwa wa ligi kuu ya Kenya. Gor Mahia imemsajili Balinya baada ya kujiridhisha na uwezo wake hasa baada …
-
Timu ya soka ya Alliance Fc imeondoka jijini Mwanza kwenda nchini Kenya kwa mwaliko maalumu wa kucheza mechi za kirafiki kujiweka sawa na ligi kuu inayoendelea nchini ambapo imesimama kupisha …
-
Wakala wa mshambuliaji wa Simba sc Meddie Kagere amethibitisha kumtafutia timu mshambuliaji huyo nchini Marekani ambapo anaweza kujiunga na timu hiyo msimu ujao endapo atafakisha mabao 25 ya ligi kuu …
-
Timu ya Gormahia inayoshiriki ligi kuu nchini Kenya imeshindwa kukusanya kiasi cha kutosha kwenye harambee maalumu ya kuichangia timu hiyo ili ipate fedha za kuwezesha kucheza mchezo wa hatua ya …
-
Kama ulijua bakula linatembezwa jangwani pekee basi utakua umechemsha baada ya mfumo huo wa kuomba michango kuiangukia klabu ya Gormahia ya nchini kenya baada ya kutetereka kiuchumi siku za hivi …