Klabu ya Yanga sc ilianzishwa rasmi mwaka 1935 ikiwa kama klabu ya wanachama iliyokua na lengo la kujumuisha vijana wa kitanzania katika kushirikiana katika mambo mbalimbali ya kijamii lakini ilianzia …
GSM
-
-
Habari njema kwa mashabiki wa Yanga sc ni kwamba mdhamini na mfadhili wa klabu hiyo Ghalib Said Mohamed (GSM) ameridhia kushiriki kwenye ujenzi wa uwanja wa Yanga unaotarajiwa kujengwa katika …
-
GSM imejiondoa Rasmi kuwa mdhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania bara kutokana na kutotimizwa Kwa Makubaliano ya Mkataba baina yao na Shirikisho la soka nchini (TFF). Kampuni hiyo ambao ni …
-
Mchakato wa mabadiliko katika klabu ya Yanga sc imefikia hatua nzuri baada ya rasimu yenye mabadiliko kutoka La liga kukabidhiwa kwa mshauri mkuu wa klabu hiyo Senzo Mazingiza tukio lililofanyika …
-
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) kitaingia uwanjani kuwavaa Tunisia katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon mwaka 2021 utakaofanyika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es …
-
Klabu ya Yanga Sc imejinasia saini ya Said Ntibazonkiza kutokea timu ya taifa Burundi akiwa kama mchezaji huru baada ya kukosa timu kwa muda mrefu. Ntibazonkiza amesaini dili la miaka …
-
Bilionea wa GSM ,Ghalib Mohhamed amewahamisha wachezaji wa Yanga pamoja na benchi la ufundi ili kupata utulivu kwenye makazi yao mapya yaliopo Kigamboni kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao …
-
Kuelekea mechi dhidi ya watani wa jadi Simba sc siku ya jumapili klabu ya Yanga sc imewaandalia dau nono wachezaji wa klabu hiyo endapo wataibuka na ushindi katika mchezo huo. …
-
Tetesi zinasema wachezaji Eric Rutanga kutoka Rayon Sports ya Rwanda pamoja na Tuisila Kisinda wanatarajiwa kuwasili nchini kuanzia Julai 10 2020 kwa ajili ya kujiunga na Yanga. Hatua hiyo imekuja …
-
Kwa mujibu wa bosi anayeshughulikia masuala ya usajili ndani ya klabu ya Yanga Eng.Hersi Said bado siku kadhaa tu watamtambulisha beki kisiki kutoka klabu ya Coastal Union Bakari Nondo Mwamnyeto …