Kiungo wa Yanga Mapinduzi Balama ameibuka mchezaji bora wa mechi ya watani wa jadi Simba sc na Yanga baada ya kuonyesha kiwango bora na kupelekea kupewa tuzo ya mchezaji bora …
Tag:
gsm foam
-
-
Kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal union wachezaji wa Yanga wamepata zawadi wa shilingi milioni kumi kutoka kwa wadhamini na wasambazaji wa jezi za timu hiyo kampuni ya Gsm …
-
Ni mwaka wa neema jangwani ndi unavyoweza kusema kwa sasa baada ya timu hiyo kupokea dili nono la udhamini kutoka kampuni ya GSM kupitia magodoro ya Gsm foam ambao wameingia …