Jacob Mulee ametangazwa jana Octoba 21 na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Kenya (FKF),Nick Mwendwa kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya Hrambee Stars. Mulee mwenye …
Tag:
harambee stars
-
-
Mastaa wanaocheza soka katika klabu za ulaya wanatarajiwa kuungana na wenzao katika kikosi Harambee stars kilichopo nchini Misri kwa ajili ya mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika …
-
Ni kama ndio basi tena kwa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) baada ya jana kukubali kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya majirani Harambee stars katika mechi iliyochezwa jijini …
-
Hakuna kuangaliana usoni baina ya nchi jirani za Tanzania na Kenya katika michuano ya Afcon ambapo leo watakutana katika raundi ya pili ya kundi C baada ya timu zote kupoteza …