Mshambuliaji Odion Ighalo amesema kikosi cha sasa cha Manchester United kipo katika hali nzuri tayari kwa msimu wa ligi ya EPL kikisubiri kwa hamu mechi hizo kurejewa . Michuano ya …
ighalo
-
-
Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano na klabu ya Shangai Shenghua juu ya mchezaji Odian Ighalo ambaye atasalia klabuni hapo hadi julai 31 mwisho wa msimu wa ligi kuu nchini …
-
Klabu ya manchester United bado ina mpango wa kumpa mkataba wa kudumu msahambuliaji Odian Ighalo lakini inasubiri mpaka ligi kuu itakaporejea ili kuanzisha mazzungumzo na timu ya Shangai Shengua inayommiliki …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Odian Ighalo amesema anafurahia maisha ndani ya klabu hiyi kutokana na uwepo wa ukaribu wake na mastaa watatu wa klabu hiyo. Ighalo aliyesajiliwa kutoka …
-
Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo, 30, amepigwa marufuku katika uwanja wa mazoezi wa klabu hiyo kutokana na hofu ya hatari ya maambukizi ya virusi vya corona. Ighalo ambaye yuko …
-
Mshambuliaji wa Manchester United Odion Ighalo atakosa mazoezi na klabu hiyo nchini Uhispania kutokana na hofu kwamba virusi vya corona vinaweza kumzuia kuruhusiwa kuingia nchini Uingereza . Ighalo mwenye umri …
-
Hatimaye timu ya taifa ya Nigeria(Super Eagles) imepoza machungu ya kufungwa nusu fainali baada kuibuka mshindi wa nafasi ya tatu katika michuano hiyo ambayo fainali itafanyika ijumaa ya leo kati …