Ligi kuu Tanzania Bara raundi ya sita inaendelea leo Octoba 14,ambapo timu nane zitavaana katika viwanja vinne tofauti kwaajili ya kusaka pointi tatu muhimu. Raundi ya tano ilimalizika na kuwaacha …
Tag:
ihefa fc
-
-
Gwambina FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefa Fc katika mchezo wa leo wa raundi ya tano ligi kuu bara msimu 2020/2021. Mchezo huo ulichezwa uwanja wa …
-
Kocha mkuu wa Simba Sc,Sven Vandenbroeck amewachomoa nyota wake watatu ambao ni Luis Miqussone,Pascal Wawa na Chris Mugalo kwa kuwa hawakuwepo kwenye mazoezi ya awali na wachezaji wenzao kambini wiki …
-
Fred Felix Minziro ambaye anainoa Mbao Fc ya Mwanza amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Julai kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20 akiwashinda Amri Said wa Mbeya …
-
Play offs ya kwanza ya siku ya leo July 29,imewapa Ihefa ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Mbao FC ya Felix Minziro wakiwa uwanja wa ugenini wa Highland Estates. Bao …