Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Kibu Dennis ameendelea kushika vichwa vya habari za usajili nchini kutokana na kuelekea kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba sc ambapo baadhi ya …
ihefu fc
-
-
Bao la Feisal Salum Dakika ya 13 ya mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Ihefu Fc limetosha kuipatia alama tatu klabu yake hiyo katika mchezo wa ligi kuu baina …
-
Uongozi wa klabu ya Ihefu Sc umefikia makubaliano ya pande mbili ya kusitisha Mkataba wa kazi na aliyekua Ofisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Biko Mangasini Scanda ikiwa takribani siku …
-
Kocha mwenye maneno makali Mecky Mexime amejiunga na klabu ya Ihefu FC sikua chache baada ya kuachana na klabu ya Kagera Sugar Fc kwa makubaliano ya pande mbili ambapo tayari …
-
Klabu ya Ihefu Fc imeachana na kocha raia wa Uganda Moses Basena kutokana na kuwa na mfululizo wa matokeo mabaya klabuni hapo tangu ajiunge nayo akichukua nafasi ya Zubeiry Katwila …
-
Klabu ya Simba sc imeituliza klabu ya Ihefu Fc katika uwanja wa Benjamini Mkapa uliopo katika manispaa ya Temeke baada ya kufanikiwa kuifunga 2-1 katika mchezo wa ligi kuu ya …
-
Siku chache baada ya kuachana na Ihefu Sc Zuberi Katwila ameonekana akishirikiana na makocha wengine wa timu ya Taifa ya wanaume U15 katika kituo Cha ufundi Cha TFF, Mnyanjani, Tanga …
-
Ihefu Fc imefanikiwa kuchukua alama tatu kutoka kwa Yanga sc baada ya kufanikiwa kuifunga klabu hiyo kwa mabao 2-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Highland Estates …
-
Kikosi cha klabu ya Yanga sc kimefanikiwa kuwasili mkoani Mbeya na kupitiliza kwenda Mbarali tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu Fc utakaofanyika siku ya kesho katika uwanja …
-
Klabu ya Ihefu Fc chini ya Kocha Juma Mwambusi imefanikiwa kuvunja mwiko wa kutofungwa kwa jumla ya mechi 49 za ligi kuu uliowekwa na klabu ya Yanga sc baada ya …