Daktari wa klabu ya Simba sc Edwin Kagabo amefunguka kuhusu jeraha alilolipata beki Henock Inonga baada ya kukanyagwa vibaya na mshambuliaji Hija Ugando wa Coastal Union katika mchezo wa ligi …
Tag:
Inonga
-
-
Beki wa kati wa klabu ya Simba sc Henock Inonga ameendelea kuwa na msimu mbaya baada ya kuumia katika mchezo unaoendelea wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union na kulazimika …
-
Mastaa wa Simba sc Henock Inonga na Moses Phiri wamerejea uwanjani baada ya kuwa na majeraha yaliyiwaweka nje takribani wiki kadhaa na kuwafanya wakose baadhi ya michezo ya klabu hiyo …