Licha ya kutanguliwa kufungwa mabao 2 na timu ya taifa ya Ubelgiji,Timu ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya timu ya Ubelgiji katika mchezo …
Tag:
italia
-
-
Baba mzazi wa staa anayeichezea As Roma,Francesco Totti,Enzo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 baada yakupata shambulio la moyo miaka michache iliyopita huku akikumbwa na corona iliyomuweka katika …
-
Mkurugenzi wa michezo katika klabu ya PSG,Leonard anammezea mate kipa wa Ac Milan ,Gianluigi Donnarumma lakini anapata presha kutoka kwa kocha mkuu wa Chelsea ,Frank Lampard ambaye pia anahitaji wino …
-
Waziri mkuu wa Italy Giuseppe Conte amekataza vilabu kurejea mazoezini na kusubiri angalau April 13 ili kuendelea kuchukua tahadhari kuhusu janga hili la mlipuko wa virusi vya Corona. Ligi zote …