Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo Octoba 16,ambapo Dodoma Jiji itawakaribisha Mbeya City uwanja wa Jamhuri Dodoma majira ya saa 10:00 kwa ajili ya kuzisaka pointi tatu muhimu. Dodoma Jiji …
Tag:
jamuhuri
-
-
Simba Sc imewapa kichapo cha mabao 4-0 JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tano ya ligi kuu bara uliochezwa jana uwanja wa Jamuhuri mkoani Dodoma majira ya Saa 8:00mchana. …
-
Klabu ya Young Africans Sc imetozwa faini ya laki tano (500,000) kwa kosa la mashabiki wa timu yake kuonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kuwapiga na kuwachania jezi mashabiki …