Tetesi zinaeleza kuwa bosi wa Manchester United ,Ed Woodward hatasita kumfuta kazi kocha mkuu wa miamba hiyo ya Oldtrafford,Ole Gunnar Solskajaer kama Man United itaendelea kupata matokeo mabovu msimu huu. …
Tag:
jose mourinho
-
-
Manchester United imeshushiwa mvua ya mabao 6-0 na Tottenham Hotspurs katika mchezo wa jana wa ligi kuu England uliofanyika Old Trafford na kupoteza pointi tatu muhimu mbele kikosi hicho kinachonolewa …
-
Tottenham Hotspurs wamemuweka sokoni mchezaji wao,Tanguy Ndombele ambaye kwa sasa yupo kwenye uangalizi maalum baada ya kukutwa na Virusi Vya Corona. Ndombele yupo mezani kwa dau la pauni milioni 54 …
-
Kocha mkuu wa Tottenham Hotspurs,Jose Mourinho amesema kuwa alilia sana baada ya Real Madrid kufungwa na Bayern Munich katika mechi ya nusu fainali ya kuwania kombe la ligi ya Mabingwa …