Klabu ya Juventus imesema itavunja mkataba na nyota wake raia wa Ufaransa Paul Pogba kama atafungiwa kujihusisha na soka kutokana na tuhuma zake za kutumia dawa za kusisimua misuli ambazo …
juventus
-
-
Tetesi zinaeleza kuwa kocha mkuu wa Chelsea,Frank Lampard anahitaji saini ya nyota wa Juventus,Paulo Dybala ili awe ndani ya kikosi hicho cha The Blues. Dybala mwenye miaka 26 raia wa …
-
Wachezaji wa Juventus wote wamelazimika kujitenga kwa ridhaa baada ya kiungo wa timu hiyo,Weston McKennie kuthibitika kukutwa na Virusi vya Corona. Weston ambaye ndiye mchezaji wa pekee wa Juventus alijiunga …
-
Benchi la ufundi la Juventus limethibitisha kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ambaye ni mchezaji pia wa mabingwa hao wa ulaya amekutwa na maambukizi ya virusi …
-
Tarifa zinaeleza kuwa Juventus ina mpango wa kumpatia mkataba mpya Paulo Dybala kwani ni mchezaji bora na tegemeo ndani ya timu hiyo. Dybala anakaribia kumaliza mkataba wake ndani ya Juventus …
-
Christian Ronaldo afikisha mabao 101 ya kitaifa na kuweka rekodi mpya ya mwanasoka wa kwanza bara la Ulaya,akiwa katika timu ya taifa ya Ureno. Rekodi hii inafikishwa kwa mabao 2-o …
-
Juventus imethibitisha kuachana na kocha mkuu , Maurizio Sarri baada ya kudumu kwa msimu mmoja ndani ya klabu hiyo. Sarri ndani ya msimu wa 2019/20 alifanikiwa kutwaa taji la Serie …
-
Manchester United imefikia muafaka wa makubaliano binafsi na wawakilishi wa winga wa kimataifa England anayecheza ndani ya Borussia Dortmund,Jadon Sancho baada ya kukubali kumlipa mchezaji huyo mshahara wa pauni 340,000 …
-
Arthur Melo amesaini kandarasi ya miaka 5 Juventus hadi 2025 akitokea klabu ya Barcelona baada ya klabu hizo kuamua kubadilishana na Miralem Pjanic akielekea upande wa Barcelona. Kiungo huyo amekamilisha …
-
Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) limetangaza kufuta tuzo za soka zinazotolewa na Shirikisho hilo mwaka huu kutokana na janga la virusi vya Corona ambazo zilitarajiwa kutolewa jijini Milan nchini …