Sasa ni rasmi klabu ya soka ya Kagera Sugar Fc imeshuka daraja mpaka ligi daraja la kwanza kwa msimu ujao baada ya klabu ya Kengold Fc kukubali kipigo cha mabao …
Tag:
kagera sugar fc
-
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Kagera Sugar Fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. …
-
Klabu ya Simba sc imeshindwa kuibuka na alama tatu baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Kaitaba wilayani Bukoba …
-
Mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Kelvin Yondani yupo njiani kujiunga na klabu ya Kagera Sugar akitokea klabu ya Geita Gold Fc ambapo amedumu kwa takribani nusu msimu …
-
Klabu ya Simba sc imeshindwa kupata ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera sugar baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 katika mchezo wa raundi ya 17 uliofanyika katika …