Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Singida Fountain Gate Fc Meddie kagere amejiunga na klabu ya Namungo yenye maskani yake mkoani Mtwara katika wilaya ya Ruangwa kwa mkataba wa mkopo wa …
Kagere
-
-
Bao la jioni la mshambuliaji wa zamani wa Simba sc Meddie Kagere limaizamisha klabu ya Mtibwa Sugar na kuwanyima alama tatu katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa …
-
Klabu ya Simba sc imewatema mastaa wake watatu wakiwemo washambuliaji Meddie Kagere na Chris Mugalu pamoja na kiungo Thaddeo Lwanga baada ya kukubaliana kuvunja mikataba ya mwaka mmoja iliyobaki. Wachezaji …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam. …
-
Straika wa Simba Sc ,Meddie Kagere yuko hatarini kuikosa mechi ya watani wa jadi dhidi ya Yanga Sc kutokana na majeraha yanayomsumbua yatakayomfanya kukaa nje ya uwanja kwa takribani wiki …
-
Simba Sc imewapa kichapo cha mabao 4-0 JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tano ya ligi kuu bara uliochezwa jana uwanja wa Jamuhuri mkoani Dodoma majira ya Saa 8:00mchana. …
-
Kocha mkuu wa Simba Sc, Sven Vandenbroeck amemtangaza John Bocco kama nahodha wa timu hiyo na chaguo lake katika kikosi chake cha kwanza katika msimu mpya wa ligi kuu bara …
-
Baada ya kufungwa mchezo wa mwisho na Mbao fc,Klabu ya Simba sc imerejesha furaha kwa mashabiki baada ya kuifunga klabu ya Alliance fc mabao 5-1. Katika mchezo huo mabao ya …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Meddie Kagere amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi machi mwaka huu kwa mujibu wa bodi ya ligi kuu Tanzania bara. Kagere ametwaa …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Simba Meddie Kagere ametua nchini huku akitamba kuwa amekuja kumalizia  kazi aliyoianza ya kuhakikisha anakua mfungaji bora wa ligi kuu nchini na kubeba kiatu cha dhahabu. …