Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga Sc Nasredine Nabi amevutiwa na mshambulia wa Al Ittihad ya Libya na sasa klabu yake ya Kaizer Chiefs imefungua mazungumzo rasmi na mshambuliaji …
kaizer chiefs
-
-
Klabu ya Simba sc imewasiliana na klabu ya Kaizer Chiefs kuwa haitafanya biashara ya kumuuza winga wao Kibu Denis Prosper ambae anahitajika na klabu hiyo chini ya kocha Nasredine Nabi. …
-
Kocha wa klabu ya Kaizer chiefs Nasredine Nabi ameonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji Kibu Dennis kujiunga na klabu hiyo msimu ujao wa ligi kuu nchini humo. Nabi ambaye yupo nchini …
-
Uongozi wa Kaizer Chiefs utajaribu kutimiza ndoto za mashabiki wao kwa kumpata Feisal Salum kutoka klabu ya Azam Fc licha kuwa mchezaji huyo ana ofa nyingi ndani na nje ya …
-
Kocha wa zamani wa klabu za Yanga sc na Namungo Fc Cedrick Kaze amepata ofa ya kujiunga na timu ya Kaizer Chiefs kama kocha msaidizi wa Nasredine Nabi aliyefanya nae …
-
Uwezo mkubwa wa kikosi cha Yanga sc iliounyesha katika mchezo wa kirafiki dhidi ya klabu ya Kaizer Chiefs umewaacha mashabiki midomo wazi nchini humo kutokana na kuwafunga wasauzi hao mabao …
-
Klabu ya Yanga Sc imekubali ombi la Kaizer Chief kucheza mchezo wa Kirafiki wakati wa Pre Season ambapo mchezo huo utapigwa nchini Afrika Kusini mwezi Julai (7) licha ya awali …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Fiston Kalala Mayele amezua tafrani katika mitandao ya kijamii baada ya taarifa kusambaa kuwa amejiunga na klabu ya Kaizer Chiefs kwa mkataba wa miaka …
-
Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Yanga sc Senzo Mazingiza amethibitisha klabu hiyo kupokea ofa ya mshambuliaji Fiston Kalala Mayele kuhitajika katika klabu za Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu nchini …
-
Klabu Ya Kaizer Chiefs Ya Afrika Kusini wanamuhitaji Mshambuliaji Hatari wa klabu ya Yanga Fiston Kalala Mayele (27) kama mbadala wa Samir Nurkovic (29) Raia wa Ambaye anaweza kuachwa ifikapo …