Yanga Sc ipo kwenye harakati za kufanya vizuri msimu wa pili wa ligi kuu bara,hivyo hata mabadiliko ya sehemu ya kufanyia mazoezi na makazi yao wamebidi kuyaboresha ili kujenga utulivu …
kambi
-
-
Wachezaji na benchi la ufundi la klabu ya Simba sc leo wameingia rasmi kambini kujiandaa na ligi kuu Tanzania bara ambayo inatarajiwa kurejea hivi karibuni kufuatia kusimamishwa na serikali ili …
-
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije amempa ruhusa Kiungo Jonas Mkude kuondoka kwenye Kambi ya Kikosi hicho kwenda kushughulikia masuala yake ya kifamilia. Mkude alitoa taarifa kwa Kocha Ndairagije …
-
Kambi ya timu ya Yanga jijini Mwanza imezidi kunoga kufuatia kurejea kwa wachezaji ambao awali waalikua hajasafiri na timu kwa sababu mbalimbali. Wachezaji hao ni Abdulaziz Makame na Metacha Mnata pamoja …
-
Timu ya Yanga sc ipo njiani kwenda mkoani Kilimanjaro kuweka kambi ya muda kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Township Rollers ya Botswana utakaofanyika mjini …
-
Mastaa saba waliokua na timu ya Simba sc nchini Afrika Kusini wanatarajiwa kurejea nchini kesho ili kujiunga na kambi ya timu ya taifa (Taifa stars) inayojiandaa na mchezo wa kufuzu …
-
Leo asubuhi Simba sc ilikua na mechi ya kirafiki na timu ya Orbret Tvet ya nchini humo katika kujiandaa na msimu wa ligi kuu na michuano ya kimataifa ambapo timu …
-
Ni kama zali la mentali kwa mshambuliaji Ibrahimu Ajibu baada ya kusota akiwa jangwani na sasa anakula raha katika hoteli aliyokaa staa wa Uingereza Wayne Rooney akiwa na mastaa wenzake …
-
Mastaa wa timu ya Simba sc ambao walikwama kusafiri na timu hiyo kwenda katika kambi ya maandalizi ya msimu mpya nchini Afrika ya kusini kutokana na kutokamilika kwa taratibu za …
-
Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amewatembelea wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) katika hotel yao waliyoweka kambi nchini Misri Kujiandaa na Michuano ya mataifa ya Afrika …