Kiungo Rasta mzimbabwe Thabani Kamusoko anasubiria kumalizika kwa Michuano ya Afrika (Afcon) ili kujua hatima yake ya klabu atakayoichezea msimu ujao. Kiungo huyo mwenye amesema tayari ana ofa tatu mezani …
Tag:
Kamusoko
-
-
Kiungo mtaalamu wa staili ya kampa kampa tena Thabani skala Kamusoko amuweka matatani kocha wa Timu ya Yanga Mwinyi Zahera kufuatia kuwemo katika orodha ya wachezaji watakaopewa mkono wa kwaheri …