Mlinda mlango wa KMC na Timu ya Taifa (Taifa Stars)Juma Kaseja anatarajia kurejea tena uwanjani hivi karibuni. Kaseja alisemekana kuwa na uvimbe gotini mguu wa kulia siku chache kabla ya …
Tag:
kaseja
-
-
Kipa wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) Juma Kaseja ameibukia kwenye mazoezi ya timu ya taifa ya wanawake Tanzania (Twiga stars) akiwanoa makipa wa timu hiyo. Kipa huyo mkongwe …
-
Timu ya taifa ya Tanzania(taifa stars) ipo katika hatihati ya kukosa nafasi ya kushiriki michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani(Chan) baada ya jana kukubali kipigo cha bao …
-
Kufuatia kuonyesha kiwango bora katika mchezo wa kimataifa dhidi ya Burundi Kipa Juma Kaseja amezawadiwa fedha taslimu shilingi milioni 10 na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda. …
-
Timu ya taifa ya Tanzania(Taifa Stars) imetinga hatua ya makundi ya kufuzu kombe la dunia baada ya kufanikiwa kuitoa Burundi katika hatua ya pili kufuatia kuibuka na ushindi kwenye mchezo …