Klabu ya Krc Genk imethibitisha kuwa Kelvin John amepandishwa kwenye timu ya wakubwa hivyo atacheza michezo ya ligi kuu nchini Ubelgiji akitokea timu ya watoto ya klabu hiyo. Kinda huyo …
Tag:
kelvin john
-
-
Staa wa timu ya taifa ya vijana (Ngorongoro Heroes) Kelvin John “Mbappe” amepewa ofa ya kufanya mazoezi na timu ya soka ya Mtibwa Sugar ili kujiweka fiti wakati akisubiri kwenda …
-
Timu ya soka ya vijana ya Tanzania (ngorongoro heroes) imeifunga timu ya vijana ya Zanzibar kwa mabao 5-0 katika michuano ya chalenji inayoendelea nchini Uganda. Mshambuliaji Kelvin John “Mbappe” alipeleka …
-
Imeripotiwa kuwa mshambuliaji kinda wa timu ya vijana ya Tanzania(Serengeti boys) Kelvin John “Mbappe” atajiunga na timu ya Krc Genk anayoichezea mtanzania Mbwana Samata ifikapo mwezi ocktoba mwaka huu. Mbappe …