Uwanja wa Taifa wa Kasarani uliopo jijini Nairobii nchini Kenya umechaguliwa kuwa uwanja utakaofanyika mchezo wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, ambalo linafanyika nchini Kenya,Tanzania na …
Kenya
-
-
Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United Benni McCarthy anaendelea kusubiri ushindi wake wa kwanza kama kocha wa Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars kufuatia sare tasa dhidi ya Chad kwenye …
-
Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la vijana la ukanda wa soka wa Afrika mashariki na kati (Cecafa) …
-
Mwanariadha kutoka nchini Kenya Edwin Kiptoo ameshinda tuzo katika mbio za 40 za has won Athens Marathon kwa kuvunja rekodi akikimbia kwa kutimua masaa mawili na dakika kumi na sekunde …
-
Kejeli za mashabiki mitandao na kugawanyika kwa viongozi wa klabu Simba sc juu ya usajili wa winga Harrison Mwendwa ndio kumesababisha mchezaji huyo arudi nyumbani kwao Kenya bila kusaini Mkataba …
-
Jacob Mulee ametangazwa jana Octoba 21 na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Kenya (FKF),Nick Mwendwa kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya Hrambee Stars. Mulee mwenye …
-
Shirikisho la Soka la Kenya(FKF) limeagana rasmi na kocha mkuu wa Harambee Stars,Francis Kimanzi baada ya kutumikia kikosi hicho kwa muda wa mwaka mmoja. Kimanzi aliyepokea mikoba ya mfaransa Sebastien …
-
AFC Leopard ya kenya imekamikisha usajili wa mshambuliaji,Harrison Mwendwa kutoka Kariobangi Sharks kwa mkataba wa kuitumikia klabu hiyo miaka miwili. Leopard wamekuwa wakifanya usajili wao kimyakimya na kwa umakini wa …
-
Gormahia ambao ni mabingwa mara 19 wa ligi kuu ya Kenya (KPL) wamejinasia huduma za kocha mpya,Roberto Oliveira ambaye atakuwa mbadala wa mwingereza Steven Polack aliyejiuzulu usiku wa Octoba 8,akiwa …
-
Gormahia wametishia kuajili kocha mpya iwapo kocha wao,Steven Polack hatarejea nchini humo kufikia mwishoni mwa wiki hii,yaani Octoba 4. Polack aliondoka nchini humo mnamo Agosti kwaajili ya likizo ya siku …