Timu ya taifa ya wanawake Kilimanjaro Queens wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 baada ya kuipa kichapo Uganda kwenye mchezo wa kufuzu tiketi ya kushiriki kombe la dunia uliochezwa leo …
kilimanjaro queens
-
-
Timu ya wanawake nchini Tanzania Kilimanjaro Queens imewafunga Burundi mabao 5-1 kwenye mchezo wa kuwania kufuzu tiketi ya kushiriki kombe la dunia kwa wanawake. Kocha mkuu wa timu hiyo Bakari …
-
Timu ya taifa ya wanawake nchini(Kilimanjaro queens) imeshindwa kutetea ubingwa wa kombe la Chalenji baada ya jana kufungwa mchezo wa fainali kwa mabao 2-0 na Kenya katika uwanja wa chamazi …
-
Timu ya soka ya taifa ya wanawake Kilimanjaro Queens imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya chalenji baada ya kuwafunga Uganda katika mchezo wa nusu fainali uliofanyika uwanja wa …
-
Timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara(Kilimanjaro queens) imeibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Burundi katika mchezo wa michuano ya kombe la chalenji kwa wanawake inayoendelea nchini. …