Klabu ya Yanga sc imeruhusiwa na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji kumtumia winga Tuisila Kisinda ambaye imemsajili kwa mkopo akitokea klabu ya Rs Berkane ya nchini Morroco baada …
Tag:
Kisinda
-
-
Klabu ya Yanga sc imekwama katika mpango wake wa kumtumia Tuisila Kisinda katika kikosi cha timu hiyo katika mashindano ya ndani na nje ya nchi baada ya Shirikisho la soka …
-
Tetesi zinasema wachezaji Eric Rutanga kutoka Rayon Sports ya Rwanda pamoja na Tuisila Kisinda wanatarajiwa kuwasili nchini kuanzia Julai 10 2020 kwa ajili ya kujiunga na Yanga. Hatua hiyo imekuja …
-
Baada ya usajili wa Bernard Morrison aliyetokea DC Motema Pembe ‘kubamba’, inaelezwa Yanga inamnyemelea mchezaji kutoka klabu ya AS Vita ya huko DR Congo. Winga Tuisila Kisinda ndiye anayetajwa kutakiwa …