Kocha msaidizi wa klabu ya Simba Dennis Kitambi amepata nafasi ya kushiriki mafunzo ya ukocha ya Uefa ambayo yatatolewa nchini na wataalamu kutoka Denmark kuanzia disemba 2-10 mwaka huu. Kitambi …
Tag:
kitambi
-
-
Wakati kocha mkuu wa timu ya Simba sc Patrick Aussems akiendelea na adhabu kocha msaidizi wa klabu hiyo Dennis Kitambi ameongoza mazoezi asubuhi ya leo yaliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana …