Kmc
Kmc Fc
-
-
Mchezo wa ligi kuu ya Nbc Kati ya klabu ya KMC Fc dhidi ya Simba Sc Umebadilishwa na sasa Utachezwa katika uwanja wa Kmc Complex jijini Dar Es Salaam Mei …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuifunga timu ya Kmc Fc katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja …
-
Unaweza kuwa msimu wa maajabu kwa klabu ya Tabora United kutokana na kuendelea kukusanya alama katika michezo yake ya ligi kuu baada ya kuifunga Kmc ikiwa nyumbani kwa mabao 2-0 …
-
Klabu ya Kmc imekamilisha usajili wa Kocha wa zamani wa klabu ya Azam Fc Kally Ongara akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Kocha Abdulhamid Moalin ambaye amejiuru siku chache zilizopita. Kally …
-
Kocha wa klabu ya Kmc Abduhamid Moalin amevunja mkataba wa nafasi ya ukocha mkuu wa klabu hiyo kutokana na klabu kushindwa kutekeleza baadhi ya makubaliano ya kimkataba baina ya pande …
-
Kocha wa klabu ya Simba Sc Fadlu Davis amesema kuwa mastaa Yusuph Kagoma na Abdulrazak Hamza wanatarajiwa kuukosa mchezo wa kesho wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu …
-
Licha ya kuendelea kutopata ushindi wa mabao mengi kama inavyotarajiwa na wengi bado klabu ya Yanga sc imeendelea kuokota alama kwenye michezo yake ya ligi kuu baada ya kushinda kwa …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Singida Black Stars Joseph Guede anatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi kuu ya Nbc baina ya timu hiyo na Kmc utakaofanyika Septemba 12 katika uwanja wa Ccm …
-
Baada ya Mazungumzo ya muda mrefu hatimaye klabu za Simba Sc na Kmc zimefikia muafaka kuhusu usajili ya kiungo mshambuliaji Awesu Ali Awesu ambaye alisababisha timu hizo kuingia mgogoro wa …