Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu anaweza kutolewa kwa mkopo kwenda ndani ya klabu ya KMC. Nyota huyo alijiunga na Simba kwa dili la miaka miwili akitokea klabu …
kmc
-
-
Klabu za Namungo na Kmc zinawinda saini ya aliyekua kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera ili kuzinoa kwa msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara. Zahera …
-
Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja. Pongezi hizo zimetolewa na …
-
Taarifa kutoka kwa idala ya tiba ya klabu ya Yanga, inabainisha Nahodha Papy Tshishimbi huenda akakosa mechi za mwanzo ligi itakaporejea akiuguza jeraha la goti alilopata kwenye mazoezi ya timu …
-
Katika harakati za kujiandaa na Ligi kuu Tanzania bara inatyotarajiwa kuanza Juni 13 timu za Yanga na Kmc zitacheza mchezo wa kirafiki siku ya jumapili juni 7 jijini Dar es …
-
Uongozi wa klabu ya KMC ya Dar kupitia kwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo Kheri Nassoro umesema utamchukulia hatua za kinidhamu Golikipa wa Klabu hiyo Jonathan Nahimana Raia wa Burundi kutokana …
-
Ligi kuu Tanzania Bara, ligi daraja la kwanza, ligi ya wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko wa watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali. Hii ni kutokana na kuisaidia …
-
Raisi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameelekeza Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu kuitisha kikao cha dharura kesho Machi 18,2020. Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika kwenye …
-
Klabu ya KMC imempa vikoba Habibu Kondo kuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho ili kuweza kuisaidia kubaki kwenye msimamo wa ligi kuu msimu ujao. Kondo amethibitisha kumalizana na mabosi hao …
-
Timu iliyonyakua ushindi wa kombe la mapinduzi Mtibwa Sugar wamefungwa na KMC mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa uwanja wa Uhuru leo Januari 17 ,2020. Sadala Kipangwile …