Kocha wa zamani KMC Jackson Mayanja apata mrithi wake Haruna Harerimana aliyesainishwa kunoa kikosi hicho kwa kandarasi ya mwaka mmoja na miezi nane. Jackson Mayanja alisitishiwa mkataba wake baada ya …
kmc
-
-
Mlinda mlango wa KMC na Timu ya Taifa (Taifa Stars)Juma Kaseja anatarajia kurejea tena uwanjani hivi karibuni. Kaseja alisemekana kuwa na uvimbe gotini mguu wa kulia siku chache kabla ya …
-
Mashabiki wa klabu ya Yanga hawajafurahishwa hata kidogo na Maamuzi ya Mwamuzi,Ally Sasi aliyokuwa akiyatoa jana kwenye mchezo wa ligi kuu uliomalizika kwa matokeo ya sare (1-1) dhidi ya KMC …
-
Pamoja na kukubali matokeo baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya KMC kwenye mchezo wa ligi kuu, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema ratiba imechangia timu yake …
-
Timu ya soka ya Yanga imeshindwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kmc baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika …
-
Timu ya soka ya manispaa ya Kinondoni(Kmc) imemtimua kocha Jackson Mayanja baada ya kuwa na mwenendo usioridhisha hasa uwanjani hususani baada ya kutopata matokeo yasiyorodhisha. Timu hiyo imekua na mwenendo …
-
Timu ya soka ya Kmc imepoteza mchezo wa ligi kuu nyumbani baada ya kufungwa 2-1 na Kagera sugar katika mchezo uliofanyika jijini Dar es salaam katika uwanja wa uhuru. Mabao …
-
Timu ya Kmc imeifunga timu ya Biashara united kutoka mkoani Mara katika mchezo uliofanyika jana mchana ambapo timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wageni. Kmc ilijipatia …
-
Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe Harrison Mwakyembe ametoa pongezi hizo leo alipotembelea Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kuwapongeza na kuwatia hamasa viongozi wanaofanya kazi iliyotukuka katika …
-
Timu ya Kmc hatimaye imeonja ladha ya ushindi baada ya kuifunga Namungo Fc 1-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa katika uwanja Chamazi complex jijini Dar es salaam. …