Timu ya soka ya Kmc imeendelea kukumbana na wakati mgumu kwenye michuano inayoshiriki msimu huu baada ya kutolewa na timu ya As kigali kwenye kombe la shirikisho barani Afrika na …
kmc
-
-
Timu ya Kmc imetolewa katika kombe la shirikisho barani Afrika(Caf) baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya As Kigali katika mchezo uliomalizika jioni hii katika uwanja wa chamazi …
-
Timu ya manispaa ya kinondoni (Kmc) imeingia udhamini mnono wenye thamani ya Bilioni moja na kampuni ya kubashiri ya M-bet baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano. Akiongea na waandishi …
-
Maumivu ya goti aliyoyapata beki wa Yanga Ally Ally yamemfanya atolewe kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachovaana na Township Rollers jijini Gaborone Botswana. Beki huyo mfupi mwenye uimara katika kucheza …
-
Mkuu wa idara ya habari ya Simba sc Haji Manara amehimiza ushirikiano wa mashabiki wa soka nchini kuelekea katika michezo ya marudiano ya klabu bingwa Afrika na ile ya kombe …
-
Ratiba ya awali ya michuano ya klabu bingwa Afrika imetoka ambapo wawakilishi wa Tanzania timu za Simba na Yanga zimepangwa kuanza na timu za Township Rollers ya Botswana na Ud …
-
Mshambuliaji wa Mwadui Fc Salim Aiyee ametua katika klabu ya Kmc kwa mkataba wa miaka miwili akitokea timu hiyo ya mjini shinyanga. Mshambualiaji huyo aliyeisaidia Mwadui kubaki ligi kuu Tanzania …
-
Kiungo Kenny Ally amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu ya Kmc inayomilikiwa na Halmashauri ya manispaa ya Kinondoni akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba katika klabu ya Singida …
-
Beki wa timu ya Kmc Ally Ally amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia timu ya Yanga sc leo hii jioni baada ya mkataba wake na timu ya Kmc kufikia …
-
Baada ya kumkosa kocha wao kipenzi Ettiene Ndayiragije ambae taarifa zinadai amemalizana na Azam Fc timu ya Kmc imeamua kumpa mkataba kocha Selemani Matola ili kuziba nafasi ya Mrundi huyo …