Cedrik Kaze ambaye ni kocha mpya wa Yanga ameanza na safu ya ushambuliaji katika program zake za mazoezi kuhakikisha anapunguza ukame wa mabao katika kikosi chake. Akianza na Carlos Fernandes …
kocha
-
-
Shirikisho la Soka la Kenya(FKF) limeagana rasmi na kocha mkuu wa Harambee Stars,Francis Kimanzi baada ya kutumikia kikosi hicho kwa muda wa mwaka mmoja. Kimanzi aliyepokea mikoba ya mfaransa Sebastien …
-
Baada ya kocha mkuu wa Mtibwa Sugar,Zuberi Katwila kumwaga manyanga jana Oktoba 18, ndani ya kikosi hicho ambacho alikuwa nacho kwa muda mrefu ameibukia Ihefu Fc ya Mbeya. Katwila anachukua …
-
Cedric Kaze ambaye ni kocha mkuu wa Yanga Sc tayari ameshaanza kazi ya kukinoa kikosi hicho cha Jangwani ambacho Novemba 22,kitavaana na Polisi Tanzania uwanja wa Mkapa. Kocha huyo aliyesaini …
-
Azam Fc imezidi kujiwekea rekodi nzuri ndani ya msimu huu mpya wa ligi kuu bara 2020/2021 baada kufika raundi ya sita pasipo kufungwa wala kutoa sare ya kufungana. Kikosi hicho …
-
Uongozi wa Yanga Sc leo Oktoba 16, umemtambulisha rasmi Cedric Kaze,kama kocha mkuu wa klabu hiyo ambaye alitua hapo jana usiku akitokea nchini Canada. Kaze amesaini mkataba wa miaka miwili …
-
Cedric Kaze yuko njiani kutua Tanzania leo Octoba 15,kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake mapya ndani ya kikosi hicho cha Yanga Sc. Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amethibitisha …
-
Taarifa zinaeleza kuwa kocha mkuu,Cedric Kaze ndiye ambaye atarithi mikoba ya Zlatico Krmpotic ambaye alifutwa kazi rasmi Oktoba 3. Zlatico alikiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi 8 ambapo katika hizo …
-
Uongozi wa Yanga Sc umefikia makubaliano ya kumfuta kazi kocha mserbia,Zlatko Krmpotic jana Octoba 3,ambaye alichukua mikoba ya Luc Eymael. Zlatko amekiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi tano za ligi …
-
Miongoni mwa dili ambalo limezungumzwa kwa muda wote na halijaonesha mafanikio ndani ya Manchester united ni la Jadon Sancho ambaye ameifungia Borrusia Dortmund jumla ya mabao 20 msimu uliopita na …