Kocha wa timu ya Taifa ya Zanzibar Hemed Morocco amewatema mastaa watatu katika kikosi cha timu hiyo kilichoingia kambini Disemba 24 kujiandaa na michuano ya Mapinduzi Yanayotarajiwa kufanyika Visiwani humo …
kombe la mapinduzi
-
-
Mabingwa wa watetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba sc wameibuka mabingwa wapya wa michuano ya kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Azam fc 1-0 katika mchezo wa fainali …
-
Mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi Yanga sc imeyaaga mashindano hayo baada ya kupoteza mchezo wa nusu fainali ya michuano hiyo hii leo dhidi ya Azam fc. Changamoto ya mikwaju …
-
Miamba ya soka Tanzania Bara Yanga na Azam fc wanatarajia kumenyana katika mechi kali ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar. Baada ya ushindi wa 5-1 dhidi …
-
Miamba mitatu ya soka nchini Tanzania vilabu vya Simba,Yanga na Azam vimefuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea huko visiwani Zanzibar. Azam walio kundi A …
-
Mabingwa watetezi wa kombe la Mapinduzi Yanga sc wamefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe hilo licha ya kulazimishwa sare ya 2-2 na mabingwa wa soka Zanzibar KMKM leo …
-
Klabu za Simba na Yanga zimezanza vizuri mechi zao za kwanza za kombe la Mapinduzi baada ya kupata ushindi wa 2-0 kila moja na kuweka mzaingira mzauri ya kufuzu hatua …