Klabu ya Krc Genk imethibitisha kuwa Kelvin John amepandishwa kwenye timu ya wakubwa hivyo atacheza michezo ya ligi kuu nchini Ubelgiji akitokea timu ya watoto ya klabu hiyo. Kinda huyo …
krc genk
-
-
Taarifa zinaeleza kuwa Aston Villa ina mpango wa kumsajili beki wa kati wa Sampdoria,Omar Colley ambaye ni rafiki wa nahodha wa timu ya Taifa la Tanzani( taifa stars),Mbwana Samatta. Colley …
-
Mshambuliaji chipukizi wa Tanzania Kelvin John ‘Mbappe’ ambaye anaichezea timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes ya Tanzania amejiunga rami na klabu ya KRC Genk ya …
-
Baada ya kukaribia kukamilisha usajili kwenda klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imesadika kuwa mauzo ya mchezaji huyo yataifaidisha klabu ya Simba ambayo aliichezea staa huyo kabla …
-
Timu ya Krc Genk anayoichezea Mtanzania Mbwana Samatta imetolewa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-0 mbele ya Napoli katika mchezo …
-
Licha ya kufunga bao dhidi ya Redbull Salzburg straika wa timu ya Krc Genk Mbwana Samata ameshindwa kuiepusha timu hiyo na kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Salzburg mchezo uliochezwa …
-
Timu za Newcastle united,Westham united na nyinginezo barani ulaya zimeonyesha nia ya kumsajili staa wa kitanzania Mbwana Samatta baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika michuano ya klabu bingwa barani ulaya. …
-
Nahodha wa taifa stars Mbwana Samatta ametimiza ndoto yake ya kuifunga klabu ya Liverpool baada ya jana kufunga goli la kusawazisha dakika ya 40 ya mchezo wa ligi ya mabingwa …
-
Staa wa Taifa stars na klabu ya Krc Genk ya nchini Ubeligiji Mbwana Samatta amefunga pingu za maisha na mwanamke aitwaye Neima Mgange ndoa iliyofungwa usiku huu eneo la kijichi …
-
Nahodha wa Taifa stars Mbwana Samatta kesho ataweka rekodi ya kuwa mtanzania wa kwanza kucheza Uefa ambapo atakuwa uwanjani na timu yake ya Krc Genk kucheza mchezo wa klabu bingwa …