Leo Agosti Mosi, Yassin Mustapha amesaini dili jipya la kuitumikia Yanga akitokea Polisi Tanzania iliyokuwa ikinolewa chini ya Malale Hamisi. Yassin Mustapha anakuwa ni wa tatu kutambulishwa rasmi ndani ya kikosi …
Tag:
kusaini
-
-
Kiungo wa Yanga Mrisho Khalfani Ngassa amesema hana hofu juu ya kusaini mkataba mpya na timu baada ya ule wa awali kufika tamati msimu huu,Kiungo huyo mjanja mjanja amedai hahofii …